Biblia ni nini? Hapa ni mahali sahihi pa kujifunza kweli za Biblia. Je, bado kuna “watu wa kitabu”? Kwa nini kuna mateso? Kwa nini kuna makanisa mengi? Je, tabia ya kweli ya Mungu ni nini? Alama ya mnyama ni nini? Je! Biblia inaweza kujielezea yenyewe? Pata majibu hapa.
(Tovuti hii haiendani na “opera mini” au “UC mini”.)
Maswali ya Biblia yatakayojibiwa:
Dhambi ilianzia kwa nani?
Tumwamini nani?
Biblia yenyewe inajishuhudiaje?
Je, Mungu ana uwezo gani unaomfanya kuwa mkuu kuliko miungu mingine?
Ni sehemu zipi za Biblia ambazo Yesu alizitumia katika mafundisho yake?
Uovu Ulitoka Wapi?
Shetani alikuwa akiitwa nani kabla ya kuasi? Alikuwa akiishi wapi?
Je, tunajuaje kuwa kutakuwa na hukumu?
Katika hukumu hii, hakimu ni nani?
Je, tunaweza kuwa na uhakika kuwa Yesu atarudi tena duniani?
Je, Yesu atarudi tena kwa jinsi gani?
Je, kuja kwa Yesu mara ya pili kutaonekana na watu wote au kundi fulani tu la watu?
Ni nani atakayekuja pamoja na Yesu?
Je Mungu mwenyewe aliziandika Amri Kumi?
Je, Amri Kumi za Mungu zimesisitizwa katika Agano Jipya?
Je, Yesu Kristo ni Bwana wa siku ipi?
Je, ubatizo ni wa lazima?
Waliokufa Wako Wapi?
Je, watu wema huenda mbinguni baada ya kufa?
Je, mtu aliyekufa anaweza kujua au kuelewa kiasi gani?
Uongo wa kwanza kabisa wa Ibilisi ni upi?
Kwa nini watu wa Mungu hawatadanganyika?
Kwa kuwa tunataka kujifunza juu ya Alama ya Mnyama, mnyama mwenyewe ni kitu gani?
Mnyama anayeelezewa katika Ufunuo 13 ana sifa zipi?
Nifanye nini sasa ili nisiipokee alama hiyo?
Je, kanuni za afya ni sehemu ya dini ya kweli?
Kwa nini Mungu aliwapatia watu wake kanuni za afya?
Ni watu gani wanaopokea Roho Mtakatifu?
Je, kuna onyo la mwisho kwa dunia?
NA MASWALI MENGI ZAIDI!